Rose Education Centre


Mwaka ufuatao wa shule

Mwaka unaofuata wa shule ni: 05/01/2016

Tafadhali muandikishe mtoto wako mapema Rose Education Centre.

Pigia +255787-397940 au +255712-014764 .

Fomu za kujiunga na shule zinapatikana kwa Mudi +255655-397941 / 255768-193259 au nenda moja kwa moja Rose Education Centre.