Ada ya shule


 

Gharama za ada ni nafuu sana.

Kwa muhula (miezi minne) Kwa mwaka
Wanafunzi wa Bweni TSH 300,000 TSH 900,000
Wanafunzi wa Kutwa TSH 200,000 TSH 600,000

*Gharama za usafiri azijajumlishwa kwenye ada. Gharama zinalipwa kufuatana na umbali wa anakoishi mwanafunzi kutokea nyumbani kwenda shuleni.

rose-education-ada-ya-shule

rose-education-sare-ya-shule

Sare ya shule

 

 

 

Gharama ya sare ni TSH 100,000 .

Ambazo ni:

  • pea mbili za nguo za shule (ambazo ni zadarasani)
  • pea mbili za nguo za kushindia shuleni [shamba dress] na pea moja ya sweta.

Fomu za kujiunga

Fomu za kujiunga na shule zinapatikana Moshi mjini katika duka la Spea la Mudi lililoko karibu kabisa na hoteli ya New White Star.
Pia fomu zinapatikana shuleni Mtakuja Josho katika ofisi za shule.

Bei ya fomu kwa mmoja ni TSH 10,000 .

Namba za simu za Mudi ni: +255655-397941 / +255768-193259

Mitihani

Wote wanaotaka kujiunga na shule ya Rose ni lazima wafanye mitihani ya kupimwa uwezo ili waturidhishe kuwa watakidhi viwango vyetu ambavyo ni maksi 70.