Shule ipo kijiji cha Mtakuja, kata ya Mabogini, karibu kabisa na kijiji cha New land. Ukitokea barabara kuu ya kuelekea TPC, fika kibaoni na uelekee barabara ya New land. Kutokea New land nyooka na barabara inayoelekea kijiji cha Mtakuja na ndipo utapata shule ya Rose Education.
Shule ipo katika kijiji cha Mtakuja Kitongoji cha Josho.